Search your favorite song right now

1. Kufa Kupona: Mchezo Hatari Wa Kujivinjari Kwenye Mto Wenye Mwamba

 • Published: 4 years ago
 • Duration: 3:20
 • By
Kufa Kupona: Mchezo Hatari Wa Kujivinjari Kwenye Mto Wenye Mwamba

Watu wengi bila shaka wanaogopa kushikiriki katika michezo ya maji. Na inaeleweka kuwa kila mmoja anahofia kuwa anaweza


2. Kufa Kupona: Mchezo Hatari Wa Kuruka Na Miavuli Mikubwa

 • Published: 4 years ago
 • Duration: 3:27
 • By
Kufa Kupona: Mchezo Hatari Wa Kuruka Na Miavuli Mikubwa

Unaweza kuhatarisha maisha yako kwa kupaa juu angani huku umeninginia kwa parachuti iliyoshikiliwa na nyuzio kadhaa. Amini


3. Kufa Kupona: Kuvuka Mto Sagana

 • Published: 4 years ago
 • Duration: 3:11
 • By
Kufa Kupona: Kuvuka Mto Sagana

Tafakari, unanuia kuvuka mto wenye upana wa zaidi ya mita 30, na hakuna daraja. Bila shaka utatatizika akilini. Lakini sivyo kwa


4. Kufa Kupona : Mpiga mbizi shupavu wa Baringo aangamia katika fani yake

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 2:21
 • By
Kufa Kupona : Mpiga mbizi shupavu wa Baringo aangamia katika fani yake

Miezi kadhaa iliyopita tuliwaangazia vijana wanaoruka katikati ya miamba katika mto Kerio eneo la Chebloch, katika makala ya


5. Kufa Kupona: Kukwea Miamba, Almaarufu Rock Climbing

 • Published: 3 years ago
 • Duration: 3:35
 • By
Kufa Kupona: Kukwea Miamba, Almaarufu Rock Climbing

Je, unaweza kukwea mwamba wenye urefu wa futi hamsini? Iwapo huwezi , basi kuna wanaume walio na roho ya chuma! Kwenye


6. Kufa Kupona: Safari Hatari Ya Kuvuka Mto Nzoia Kupitia Kivukio Tamba

 • Published: 3 years ago
 • Duration: 4:33
 • By
Kufa Kupona: Safari Hatari Ya Kuvuka Mto Nzoia Kupitia Kivukio Tamba

Kwao ni kawaida tu, hawaoni kwamba wanahatarisha maisha yao. Sio wengine tunowazungumzia bali ni wenyeji wa magharibi


7. KUFA KUPONA TEASER 3

 • Published: 11 months ago
 • Duration: 0:36
 • By

8. Barobaro 2 Wapiga Mbizi Baringo Wasajiliwa Kwenye Jeshi Baada Ya K24 Kuwaangazia

 • Published: 3 years ago
 • Duration: 2:17
 • By
Barobaro 2 Wapiga Mbizi Baringo Wasajiliwa Kwenye Jeshi Baada Ya K24 Kuwaangazia

Baada ya K24 saa moja kuangazia talanta ya barobaro wanaoruka katikati ya miamba kwenye mto Kerio, sasa mmoja wa washiriki


9. Kufa Kupona: Usafiri hatari kwa usalama huko Meru

 • Published: 10 months ago
 • Duration: 4:32
 • By
Kufa Kupona: Usafiri hatari kwa usalama huko Meru

Usafiri wa pikipiki unazidi kukita mizizi katika sehemu mbali mbali za nchi . Lakini jinsi usafiri huo unavyozidi kujipenyeza ndivyo


10. Kufa Kupona: Mbinu Hatari Ya Kufyonza Mafuta Ya Petroli Barabarani

 • Published: 4 years ago
 • Duration: 3:08
 • By
Kufa Kupona: Mbinu Hatari Ya Kufyonza Mafuta Ya Petroli Barabarani

Bila shaka umeshuhudia visa vya watu wakiangamia, baada ya kufyonza mafuta kutoka kwenye malori ya mafuta pale malori


11. Kufa Kupona:Wapiga Mbizi Wa Trans Nzoia

 • Published: 4 years ago
 • Duration: 2:57
 • By
Kufa Kupona:Wapiga Mbizi Wa Trans Nzoia

Kazi yao ni ya kuokoa maisha ya watu wanaozama ndani ya mto Nzoia. Na iwapo hawataikoa maisha, basi wana kibarua cha


12. Kibarua cha kuvuka mto Nzoia kwa dau ni hatari kwa usalama

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 4:15
 • By
Kibarua cha kuvuka mto Nzoia kwa dau ni hatari kwa usalama

Wakati mwingine , matatizo hupelekea kuhatarisha maisha kuonekane kuwa jambo la kawaida tu miongoni mwa wanadamu. Kwa


13. Kufa Kupona : Kivukio cha Kufa Kupona, Murang'a

 • Published: 10 months ago
 • Duration: 4:13
 • By
Kufa Kupona : Kivukio cha Kufa Kupona, Murang'a

Kuna watu wachache ambao wanaweza kuvuka mto wakitumia daraja hafifu. Lakini inakuwaje iwapo daraja lenyewe halipo, na


14. Kufa Na Kupona

 • Published: 4 years ago
 • Duration: 3:22
 • By
Kufa Na Kupona

Kila siku zinavyozidi kusonga, ndivyo gharama ya maisha inavyoonekana kupanda. Maisha yamekuwa magumu kiasi kwamba


15. Kufa Kupona: Usafiri Hatari Kwa Usalama Wa Magari Aina Ya Probox

 • Published: 3 years ago
 • Duration: 3:19
 • By
Kufa Kupona: Usafiri Hatari Kwa Usalama Wa Magari Aina Ya Probox

Hebu tafakari. Unasafirii kwenye gari ndogo , linaloendeshwa kwa kasi ya hadi ya kilomita mia mpoja arobaini kwa saa. Gari


16. Kufa Kupona : Mchezo wa kuogelea wa "Scuba Diving"

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 3:55
 • By

17. Kufa Kupona : Ukakamavu wa dereva wa magari Tash Tundo

 • Published: 10 months ago
 • Duration: 4:06
 • By
Kufa Kupona : Ukakamavu wa dereva wa magari Tash Tundo

Mashindano ya mbio za magari ni mojawapo ya mchezo unaoogopwa na wengi, kwa dhana kuwa unahatarisha maisha pakubwa.


18. Kufa Kupona: Kuwa Rubani Wa Ndege Isiyo Na Milango Au Dirisha

 • Published: 3 years ago
 • Duration: 4:03
 • By
Kufa Kupona: Kuwa Rubani Wa Ndege Isiyo Na Milango Au Dirisha

Je, unaweza kupaa angani na ndege ambayo haina milango wala madirisha? Kwenye makala ya kufa kupona, Franklin Macharia


19. Kufa Kupona : Mchezo wa kuteleza majini

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 3:47
 • By
Kufa Kupona : Mchezo wa kuteleza majini

Mchezo wa kite surfing ni mojawapo ya michezo inahotaji ujasiri na kujitolea mhanga ili kuushiriki. Ni mchezo unaohusisha kutumia


20. Kufa kupona: Kazi ya kuchimba mawe Ruiru na Njiru

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 4:09
 • By
Kufa kupona: Kazi ya kuchimba mawe Ruiru na Njiru

Je mtazamaji, unafahamu kuwa wachimba migodi hasa wanaotumia baruti wana hulka za wanariadha? Amini usiamini, inawabidi