Information

Wajumbe wa chama cha NASA wamwidhinisha kuwania urais

Wajumbe wa chama cha ODM wamemtawaza kinara wake Raila Odinga kama mgombea wa urais kwenye uchaguzi wa Agosti nane mwaka huu.
Utawazo huu uliofanyika katika uwanja wa Kasarani umewadia wiki moja tangu muungano wa NASA kumpokeza kibali cha kupeperusha bendera ya muungano huo, ambao unajumuisha vyama tano vya upinzani.
Wakati wa mkutano huo, kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ameonya Odinga na ODM kutochezea shere vyama tanzu vya muungano huo, kwani mchezo kama huo bila shaka utavunja makubaliano yaliyoafikiwa na viongozi wote watano.
Kiama Kariuki alihudhuria mkutano huo wa wajumbe wa ODM na kutuandalia taarifa hii.

Download Video Audio

FAST DOWNLOAD - Mp4 1080p FAST DOWNLOAD - Mp4 720p Audio Only WEBM Audio Only WEBM Audio Only WEBM Audio Only M4A Audio Only WEBM Video Only WEBM (144p) Video Only MP4 (144p) Video Only WEBM (240p) Video Only MP4 (240p) Video Only WEBM (360p) Video Only MP4 (360p) Video + Audio 3GP (144p) Video + Audio 3GP (234p) Video + Audio MP4 (360p) Video + Audio WEBM (360p)

Download MP3 Audio

FAST DOWNLOAD - HQ MP3 320kbps
MP3 320kbps 8.35 MB
MP3 256kbps 6.68 MB
MP3 192kbps 5.01 MB
MP3 128kbps 3.34 MB
MP3 64kbps 1.67 MB