Search your favorite song right now

1. Wauza Dawa Feki Za Kilimo Kukiona

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 3:27
 • By
Wauza Dawa Feki Za Kilimo Kukiona

Waziri wa kilimo Charles Tizeba atoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaouza dawa za za kilimo zisizo na ubora.


2. Kama umeikosa hii ya muswada wa kilimo sikiliza hapa

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 6:47
 • By
Kama umeikosa hii ya muswada wa kilimo sikiliza hapa

Msikilize hapa waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dk Charles Tizeba akisoma muswada wa sheria wa taasisi ya kilimo Tanzania wa


3. TPRI yawaonya wafanyabiashara wanaouza Viuatilifu bandia nchini .

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 1:34
 • By
TPRI yawaonya wafanyabiashara wanaouza Viuatilifu bandia nchini .

Taasisi ya usajili na udhibiti wa viuatilifu katika nchi za Kitropiki TPRI imewaonya wafanyabishara wa viuatilifu nchini kuacha tabia


4. CRDB wamekabithi milioni 100 kwa Paul Makonda kwa ajili ya madawati

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 11:27
 • By
CRDB wamekabithi milioni 100 kwa Paul Makonda kwa ajili ya madawati

Baada ya Rais Magufuli kutangaza elimu bure kuanzia elimu ya msingi mpaka kufikia kidato cha nne, kumekuwa na changamoto


5. Viuatilifu Feki Vyakamatwa Mbeya

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 2:28
 • By
Viuatilifu Feki Vyakamatwa Mbeya

Taasisi ya utafiti wa viuatilifu yakamata shehena ya viuatilifu vilivyokuwa vikiuzwa katika maduka ya pembejeo za kilimo kinyume na


6. Kauli Ya Serikali Kuhusu Bei Ya Dawa Za Mifugo

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 4:40
 • By
Kauli Ya Serikali Kuhusu Bei Ya Dawa Za Mifugo

Je, serikali inampango gani wa kuthibiti bei za dawa za mifugo na mazao? Naibu waziri Ole Nasha anafafanua hapa.


7. Suala La Uwajibikaji Kwa Viongozi

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 3:09
 • By
Suala La Uwajibikaji Kwa Viongozi

Wakazi wa kijiji cha Uchira wilayani Moshi wamuomba mkuu wa wilaya hiyo kutembelea kijijini hapo kwa ajili ya kutatua kero


8. Wakulima Walalamika Kuuziwa Mbegu Feki

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 2:30
 • By
Wakulima Walalamika Kuuziwa Mbegu Feki

Wakulima zaidi ya 80 mkoani Mbeya walalamikia wakala wa mbegu KIBO SEEDS kwa madai ya kuwauzia mbegu feki jambo


9. Wakristo Watakiwa Kudumisha Amani

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 3:02
 • By
Wakristo Watakiwa Kudumisha Amani

Baadhi ya viongozi na waummini wa dini ya kikikristo mkoani Kigoma wameiomba jamii kumcha Mungu kwa haki na kweli na


10. Serikali Yapeleka Dawa Kwa Wakulima Zao La Pamba

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 3:18
 • By
Serikali Yapeleka Dawa Kwa Wakulima Zao La Pamba

Kilio cha wakulima wa zao la Pamba mkoani Mwanza cha kukosekana kwa dawa ya kuulia wadudu kimepatiwa ufumbuzi;


11. Wafanyabiashara Wa Mbolea Watakiwa Kufuata Bei Elekezi

 • Published: 6 months ago
 • Duration: 2:27
 • By
Wafanyabiashara Wa Mbolea Watakiwa Kufuata Bei Elekezi

Waziri wa kilimo mifugo na uvuvi Dr Charles Tizeba amewaagiza wafanyabiashara wa mbolea nchini kufuata bei elekezi


12. KUNANI TANZANIA NA SAM SASALI JUMATATU JAN 16, 2017

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 1:01:52
 • By

13. Polisi Yanasa Wauza Bangi Morogoro

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 3:31
 • By
Polisi Yanasa Wauza Bangi Morogoro

Jeshi la polisi kwa kushirikiana na kikosi kazi cha kudhibiti madawa ya kulevya mkoani Morogoro kimefanikiwa kuwakamata watu


14. MBEGU FEKI TISHIO KWA WAKULIMA

 • Published: 8 months ago
 • Duration: 4:01
 • By

15. Dr Tizeba Apiga Marufuku Urasimu Kwa Watumishi Serikalini

 • Published: 6 months ago
 • Duration: 2:56
 • By
Dr Tizeba Apiga Marufuku Urasimu Kwa Watumishi Serikalini

Waziri wa kilimo Dr Charles Tizeba amewataka watumishi wa serikali kuachana na urasimu katika masuala yanayohusu maslahi ya


16. Serikali Kudai Mali za NMC Arusha

 • Published: 6 months ago
 • Duration: 3:11
 • By

17. Bilioni 29 zawatia Matatani watumishi 3 wafukuzwa na kukamatwa

 • Published: 6 months ago
 • Duration: 3:51
 • By
Bilioni 29 zawatia Matatani watumishi 3 wafukuzwa na kukamatwa

WAKATI wakulima wakikabiliwa na changamoto mbalimbali za Pembejeo za kilimo huko vijijini huku mazao yao yakishambuliwa na


18. Kuondoa Vikwazo Zao la Korosho

 • Published: 7 months ago
 • Duration: 1:09
 • By
Kuondoa Vikwazo Zao la Korosho

Waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi Dr Charles Tizeba ameitaka bodi ya korosho nchini kuondoa vikwazo vya kibiashara ili kuongeza


19. Kauli Ya TFF Kwa Klabu Ya Yanga

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 1:20
 • By
Kauli Ya TFF Kwa Klabu Ya Yanga

Shirikisho la soka nchini TFF limeutaka uongozi wa Yanga kufuata taratibu ili wapate hela zao za matangazo.


20. Mfuko Maendeleo Korosho Wapigwa Stop

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 2:07
 • By
Mfuko Maendeleo Korosho Wapigwa Stop

Waziri wa kilimo Charles Tizeba ameusimamisha kazi kwa muda usiojulikana mfumo wa maendeleo wa zao la korosho.