Search your favorite song right now

1. Francis Mutungi ataka CCM na CHADEMA zifanye mazungumzo

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 1:57
 • By
Francis Mutungi ataka CCM na CHADEMA zifanye mazungumzo

Jeshi la Nigeria lasema limemjeruhi vibaya kiongozi wa Boko Haram, Abubakar Shekau, Uturuki yashambulia waasi wa IS Syria, ...


2. Taarifa ya Polisi kuhusu mikutano ya siasa nchini

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 5:31
 • By
Taarifa ya Polisi kuhusu mikutano ya siasa nchini

Kutokana na matukio ya kiuhalifu yanayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini, leo August 25 2016 Jeshi la Polisi limepiga ...4. Chama cha Merkel chashindwa vibaya katika uchaguzi wa jimbo.

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 1:35
 • By
Chama cha Merkel chashindwa vibaya katika uchaguzi wa jimbo.

Chama cha Kansela wa Ujerumani Angela Merkel-CDU chapigwa kumbo katika uchaguzi wa jimbo analotokea la Mecklenburg ...


5. David Cameron lawamani kwa kuishambulia Libya 2011

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 1:43
 • By
David Cameron lawamani kwa kuishambulia Libya 2011

Aliyekuwa Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron ashutumiwa na bunge kwa kuchangia katika kuuangusha utawala wa ...


6. Wahamiaji 6,500 waokolewa katika pwani ya Libya.

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 1:34
 • By
Wahamiaji 6,500 waokolewa katika pwani ya Libya.

Marekani yaionya Uturuki kuhusu vita vya Syria, yaitaka kupambana dhidi ya IS na sio waasi, wahamiaji 6500 waokolewa majini ...


7. John Kerry afanya ziara Kenya: Papo kwa Papo 22.08.2016

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 1:32
 • By
John Kerry afanya ziara Kenya: Papo kwa Papo 22.08.2016

Majeshi ya Libya yaanzisha operesheni dhidi ya IS mjini Sirte, Uturuki yasema mshambuliaji aliyewaua watu 54 harusini alikuwa ...


8. Urusi yaanza mazoezi ya kijeshi Crimea: Papo kwa Papo 12.08.2016

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 1:53
 • By
Urusi yaanza mazoezi ya kijeshi Crimea: Papo kwa Papo 12.08.2016

Ujerumani yahimiza misaada kwa Aleppo, Urusi yaanza mazoezi ya kijeshi Bahari Nyeusi na Wazambia wanasubiri matokeo ya ...


9. Shambulio la lori la Uturuki laua watu kadhaa

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 1:43
 • By
Shambulio la lori la Uturuki laua watu kadhaa

Waziri wa Ndani Bolivia, Rodolfo Illanes, auliwa na wachimba migodi, wanawake wawili wa Kihutu DRC wachomwa moto kwa ...


10. Watu wasiopungua 63 wauawa katika tetemeko la ardhi Italia

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 1:45
 • By
Watu wasiopungua 63 wauawa katika tetemeko la ardhi Italia

Uturuki yarushiana makombora na waasi wa Dola la Kiislamu Syria, serikali ya Ujerumani yatambulisha mpango wa dharura wa ...


11. Brazil yapata rais mpya

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 1:43
 • By
Brazil yapata rais mpya

Waandamanaji nchini Brazil wapinga kuondoshwa madarakani kwa Rais Dilma Rousseff, huku Rais Ali Bongo wa Gabon ...


12. Merkel akiri kuwepo kuwepo makosa katika sera ya wakimbizi

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 2:00
 • By
Merkel akiri kuwepo kuwepo makosa katika sera ya wakimbizi

Kiongozi mwandamizi wa IS auwawa Syria, Rais Ali Bongo anogoza matokeo ya awali Gabon na Nahodha wa Ujerumani Bastian ...


13. Watu milioni 800 duniani hawana hawapati maji safi

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 1:54
 • By
Watu milioni 800 duniani hawana hawapati maji safi

Watu 35 wameuwawa kufuatia mashambulizi ya Uturuki nchini Syria, Colombia yasitisha mapigano rasmi, Merkel arejea wito wa ...


14. UNICEF yasema watoto 500,000 wana utapiamlo katika eneo la Ziwa Chad

 • Published: 2 years ago
 • Duration: 1:46
 • By
UNICEF yasema watoto 500,000 wana utapiamlo katika eneo la Ziwa Chad

Idadi ya waliofariki katika tetemeko la ardhi Italia yazidi 200, serikali ya Colombia yafikia makubaliano ya amani na kundi la waasi ...


15. KUMBUKIZI HAITI

 • Published: 3 years ago
 • Duration: 2:18
 • By
KUMBUKIZI HAITI

Kumbukizi ya watu waliopoteza maisha katika tetemeko la ardhi Januari 12, 2010 limefanyika leo Haiti. Watu 200000 ikiwa ni ...


16. MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUAPISHWA

 • Published: 5 years ago
 • Duration: 2:10
 • By
MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUAPISHWA

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUAPISHWA.