Search your favorite song right now

1. Kufa Kupona: Mchezo Hatari Wa Kujivinjari Kwenye Mto Wenye Mwamba

 • Published: 5 years ago
 • Duration: 3:20
 • By
Kufa Kupona: Mchezo Hatari Wa Kujivinjari Kwenye Mto Wenye Mwamba

Watu wengi bila shaka wanaogopa kushikiriki katika michezo ya maji. Na inaeleweka kuwa kila mmoja anahofia kuwa anaweza ...


2. Kufa Kupona: Kuvuka Mto Sagana

 • Published: 5 years ago
 • Duration: 3:11
 • By
Kufa Kupona: Kuvuka Mto Sagana

Tafakari, unanuia kuvuka mto wenye upana wa zaidi ya mita 30, na hakuna daraja. Bila shaka utatatizika akilini. Lakini sivyo kwa ...


3. Kufa Kupona: Mchezo Hatari Wa Kuruka Na Miavuli Mikubwa

 • Published: 5 years ago
 • Duration: 3:27
 • By
Kufa Kupona: Mchezo Hatari Wa Kuruka Na Miavuli Mikubwa

Unaweza kuhatarisha maisha yako kwa kupaa juu angani huku umeninginia kwa parachuti iliyoshikiliwa na nyuzio kadhaa.


4. Kufa Kupona : Ukakamavu wa dereva wa magari Tash Tundo

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 4:06
 • By
Kufa Kupona : Ukakamavu wa dereva wa magari Tash Tundo

Mashindano ya mbio za magari ni mojawapo ya mchezo unaoogopwa na wengi, kwa dhana kuwa unahatarisha maisha pakubwa ...


5. Barobaro 2 Wapiga Mbizi Baringo Wasajiliwa Kwenye Jeshi Baada Ya K24 Kuwaangazia

 • Published: 4 years ago
 • Duration: 2:17
 • By
Barobaro 2 Wapiga Mbizi Baringo Wasajiliwa Kwenye Jeshi Baada Ya K24 Kuwaangazia

Baada ya K24 saa moja kuangazia talanta ya barobaro wanaoruka katikati ya miamba kwenye mto Kerio, sasa mmoja wa ...


6. Kufa Kupona: Mbinu Hatari Ya Kufyonza Mafuta Ya Petroli Barabarani

 • Published: 5 years ago
 • Duration: 3:08
 • By
Kufa Kupona: Mbinu Hatari Ya Kufyonza Mafuta Ya Petroli Barabarani

Bila shaka umeshuhudia visa vya watu wakiangamia, baada ya kufyonza mafuta kutoka kwenye malori ya mafuta pale malori ...


7. Next on Kufa Kupona.

 • Published: 3 years ago
 • Duration: 0:30
 • By

8. Tonight ON Kufa Kupona

 • Published: 3 years ago
 • Duration: 0:31
 • By

9. Next On : Kufa Kupona

 • Published: 5 years ago
 • Duration: 0:35
 • By

10. Kufa Kupona : Tunawaangazia wachuuzi machachari wa mahindi ya kuchoma,Kijabe

 • Published: 9 months ago
 • Duration: 3:35
 • By
Kufa Kupona : Tunawaangazia wachuuzi machachari wa mahindi ya kuchoma,Kijabe

Je, unaweza kufanya kazi ambayo inaweza kukusababishia mauti wakati wowote ? Wengi najua wangeogopa kushiriki katika ...


11. Kufa Kupona:Wapiga Mbizi Wa Trans Nzoia

 • Published: 5 years ago
 • Duration: 2:57
 • By
Kufa Kupona:Wapiga Mbizi Wa Trans Nzoia

Kazi yao ni ya kuokoa maisha ya watu wanaozama ndani ya mto Nzoia. Na iwapo hawataikoa maisha, basi wana kibarua cha ...


12. Kufa na Kupona: Changarawe Ziwa Victoria

 • Published: 5 years ago
 • Duration: 3:34
 • By
Kufa na Kupona: Changarawe Ziwa Victoria

Mashaka ya Wachimba Changarawe Ziwani Victoria Visit http://www.k24tv.co.ke/ for more news follow us on twitter ...


13. Kufa kupona: Kazi ya kuchimba mawe Ruiru na Njiru

 • Published: 3 years ago
 • Duration: 4:09
 • By
Kufa kupona: Kazi ya kuchimba mawe Ruiru na Njiru

Je mtazamaji, unafahamu kuwa wachimba migodi hasa wanaotumia baruti wana hulka za wanariadha? Amini usiamini ...


14. Kufa na Kupona: Pandashuka za Wavuvi wa Ziwa Victoria, Kisumu.

 • Published: 5 years ago
 • Duration: 3:10
 • By
Kufa na Kupona: Pandashuka za Wavuvi wa Ziwa Victoria, Kisumu.

Kazi ya uvuvi bila shaka huwa ni kibarua cha kujitolea mhanga. Hebu tafakari pale kunapokuwa na mvua iliyoandamana na ...


15. Coming Soon : Kufa Kupona

 • Published: 5 years ago
 • Duration: 0:35
 • By

16. Kufa Kupona: Wavuvi Wachanga Wadhihirisha Ujasiri Ziwani Turkana.

 • Published: 4 years ago
 • Duration: 4:01
 • By
Kufa Kupona: Wavuvi Wachanga Wadhihirisha Ujasiri Ziwani Turkana.

Ni kawaida kwa watu wengi kuogopa maji mengi hasa , wanapotakiwa kusafiri majini au hata kufanya kazi inayohusiana na ...18. Bungee jump

 • Published: 5 years ago
 • Duration: 3:34
 • By

19. Kufa Kupona : Kibarua cha kuchimba migodi Taita Taveta

 • Published: 1 year ago
 • Duration: 5:31
 • By
Kufa Kupona : Kibarua cha kuchimba migodi Taita Taveta

Kaunti ya Taita Taveta ni mojawapo ya maeneo nchini yanayokabiliwa na ukame na hivyo wengi wa wakaazi huishia kutegemea ...


20. Next on Kufa Kupona .

 • Published: 4 years ago
 • Duration: 0:31
 • By